Ruto awashutumu Wamarekani wanaofadhili maandamano ya Gen-Z Kenya
Rais wa Kenya William Ruto akiwa katika hafla moja katika mji wa Rift Valley, Nakuru ameshutumu taasis binafsi kutoka nchini Marekani ya Ford Foundation inayofadhili maandamano na ghasia zinazoendelea nchini humo kwa wiki kadhaa sasa huku yakishuhudia makumi ya raia wakipoteza uhai. “Wale wanaofadhili machafuko katika Jamhuri ya Kenya, aibu kwao kwa sababu wanafadhili ghasia…