Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo July 15, 2024
Tumekuwekea habari kubwa za kwenye vichwa vya habari kwenye magazeti ya Tanzania katika habari za kitaifa na michezo ya leo Jumatatu 15 July 2024, na ujipatie nakala yako kwa undani wa habari.
Tumekuwekea habari kubwa za kwenye vichwa vya habari kwenye magazeti ya Tanzania katika habari za kitaifa na michezo ya leo Jumatatu 15 July 2024, na ujipatie nakala yako kwa undani wa habari.
Uhispania imetwaa ubingwa wa kombe la Mataifa Ulaya, EURO kwa mara ya nne kihistoria kufuatia ushindi wa 2-1 dhidi ya England kwenye fainali katika dimba la Olympiastadion (Berlin). Hispania walitwaa kombe hilo kwa mara ya kwanza mnamo 1964 kabla ya kutwaa mara mbili mfululizo mwaka 2008 na 2012 na leo wametwaa kwa mara ya…
“Manula bado ni mchezaji wa Simba na siwezi kulizungumzia hili sana, kwa sababu halipo chini yangu labda mtendaji mkuu wa klabu ndio anaweza kulieleza kwa usahihi na jana alikutana na mchezaji huyo”. . “Ila ninachofahamu ni mchezaji wa Simba kama kutakuwa na mabadiliko ufafanuzi utatolewa”. Cresentius Magori Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC
Hivi ndivyo ndugu wawili Kim na mdogo wake Khloe Kardashian walivyopigilia mavazi jana katika siku ya pili ya harusi ya mtoto wa bilionea, Anant Ambani na mkewe Radhika Merchant ambao ndoa yao ilifungwa Ijumaa. Ndugu hao ambao wamekuwa wakitikisa kwenye masuala ya urembo siku ya pili walitupia mavazi ya Kihindi huku Kim akiwa na vito…
Klabu ya Real Madrid imemaliza mauzo ya idadi yote ya tiketi zilizoandaliwa kwaajii ya mashabiki kuhudhuria utambulisho wa nyota wao mpya kutoka PSG Kylian Mbappe kwenye uwanja wa Santiago Bernabeu siku ya jumanne. Mbappe atatambulishwa mbele ya mashabiki zaidi ya 85,000 atakabidhiwa jezi namba 9 baada ya namba yake pendwa anayoitumia Ufaransa na PSG kumilikiwa…
Klabu ya Manchester United ya ligi kuu Uingereza imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa kati wa timu ya Taifa Uingereza na klabu ya Bologna ya ligi kuu Italia Joshua Zirkzee. Joshua amesaini na kutambulishwa leo mbele ya kocha mkuu wa klabu hiyo Mholanzi Erik Ten Hag na ataitumikia klabu hiyo hadi mwaka 2029 mkataba uliogharimu ada…
Huu ni ujumbe wa Msanii na Mtangazaji wa Wasafi FM, Baba Levo katika siku ya kuzaliwa mke wake, Salma. Happy birthday mke wangu wangu Salma Mdoli mama Ruby!. Nina mengi ya kuongea upendo wako kwangu, uvumilivu wako kwangu nikianza kuongea naamini nitajaza kitabu!. Ila kwa sasa naomba nikuvushe kwenye hadhi mke nikuweke kwenye level ya…
Katibu wa Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa na Mlezi wa Mkoa wa Dar es salam (Kichama) Ndugu CPA Amos Makalla Leo tarehe 14 Julai 2024 ameanza Ziara Wilaya ya Ubungo yenye Majimbo Miwili ya Kibamba na Ubungo na kuanzia Kibamba. Mwenezi Makalla ameanza ziara hiyo kwa kukagua miradi mbalimbali akianzia katika Shule ya…