Messi ndio aliyebarikiwa baada ya kumgusa Lamine
Mounir Nasraoui [ Baba mzazi wa Lamine ] ameteka vichwa vya habari baada ya kusema Messi kumgusa Yamal utotoni sio kama alimbariki badala yake Messi ndiye aliyepata baraka za Yamal. “Messi amembariki Lamine? Labda Messi ndiye aliyebarikiwa baada ya kumgusa Lamine Yamal [akacheka]”. “Lamine alikomaa kabla ya wengine, ninawashukuru sana Hispania ,La Masia,…