Wanafunzi waaandamana na kuchoma majengo ya serikali

Maandamano ya wanafunzi yanayoendelea nchini Bangladesh yamesababisha uharibifu mkubwa wa majengo ya serikali na kuzimwa kwa mtandao wa intaneti kote ndani ta nchi hiyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *