Wanasimba njooni leo mshuhudie burudani ya soka la kasi – Fadlu Davids

Kocha wa Simba, Fadlu Davids, amewaomba mashabiki kujaa kwa wingi leo Uwanja wa Benjamin Mkapa kukiangalia kikosi kipya cha timu hiyo kitakachowapa burudani ya soka la kuvutia na lenye kasi.

“Tupo tayari, mashabiki watarajie mchezo mzuri, lakini pia watarajie msimu mzuri wa Ligi Kuu na mashindano ya Kimataifa,” alisema Hussen.

“Baada ya mchezo wa leo, tutaanza kujiandaa kwa ajili ya michezo ya Ngao ya Jamii kuelekea kwenye Ligi, mchezo huu utatupa picha ya nini tunatakiwa kuongeza kabla ya mchezo huo wa Ngao ya Jamii,” alisema Fadlu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *