KOREA KASKAZINI YAFUNGUA MIPAKA KUPOKEA WATALII

Korea Kaskazini inatarajiwa kufungua tena mipaka yake ili kuruhusu watalii kwa mara ya kwanza baada ya miaka mitano.

Nchi hiyo ilifunga mipaka yake mwanzoni mwa 2020 kwa sababu ya janga la Covid lakini sasa jiji moja pekee litaruhusiwa watalii kutembelea kuanzia Desemba mwaka huu.

Kiongozi wa nchi hiyo, Kim Jong Un, ametangaza mipango ya kujenga upya uwanja wa ndege wa Samjiyon na kuibadilisha kambi ya kijeshi ya kuteleza kwenye theluji ili kuwa sehemu ya sehemu ya mapumziko na kivutio.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *