BIDEN AVAA KOFIA YA TRUMP 2024

BIDEN

Rais wa Marekani Joe Biden aonekana akivaa kofia ya Trump 2024 akiwa kwenye ziara katika kituo cha zima moto huko Shanksville, Pennsylvania.

Tukio hilo la limeshangaza wengi limezua mijadala mitandaoni huku likihusishwa na mjadala wa urais uliopita kati ya Trump na Kamala Harris. Pia limetafsiriwa na wengine kama mzaha au tukio la kisiasa na ishara ya kumuunga mkono Trump.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *