TETESI ZA SOKA: Napoli wanataka Euro milioni 110 kwa Osimhen, wakataa 80 za PSG

Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) imetoa ofa ya Euro milioni 80 kwa ajili ya kumnunua mchezaji wa Napoli mnigeria Victor James Osimhen.

Hata hivyo klabu yake imegoma na kusema haitachukua pesa yoyote chini ya Euro milioni 110.

Mpaka sasa hakuna klabu iliyokubali kutoa kitita hicho.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *