MARA EMOVIS: Ng’ombe aliyeuzwa kwa shilingi Bilioni 11 avunja rekodi ya dunia

Ng’ombe aliyewahi kuuzwa kwa bei kubwa zaidi duniani anafahamika kwa jina la ‘MARA EMOVIS’ aliweka rekodi ya dunia baada ya kuuzwa kwa dollar milioni 4 (sawa na shilingi Bilioni 11 za kibongo) kwenye mnada uliofanyika nchini Brazil mwaka 2023.

Sifa za ng’ombe huyo ni ustahimilivu wao katika hali ya hewa, joto, kukabiliana na mazingira ya aina yoyote ile lakini pia kuzaliana kwa wingi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *