TFF YATOA ONYO KWA SIMBA KWA KUMRUBUNI MCHEZAJI WA KMC, AWESU AWESU
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetoa onyo kwa Simba SC kwa kumrubuni mchezaji wa KMC Fc Awesu Awesu na kumtangaza kuwa mchezaji wao katika mitandano yake ya kijamii bila kufuata utaratibu. Taarifa ya TFF imefafanua kuwa uamuzi huo umefikiwa katika kikao chake cha tarehe Agosti…