Rais Joe Biden Akutwa Na Virusi Vya COVID-19
Rais wa Marekani, Joe Biden amegundulika kuwa na UVIKO-19. hivyo kulazimika kukatiza mkutano wa kampeni wa kutafutwa uungwaji mkono kwa wapiga kura wa Latino. Biden mwenye umri wa miaka 81 alibainika kuwa na dalili za ugonjwa huo jana na tayari ameanza matibabu kwa mujibu wa daktari wake akizungumza na tovuti ya BBC. Hata hivyo, Biden…