chikao chikao

Edna Lema arejea Yanga Princess

Klabu ya Yanga imethibitisha kumrejesha aliyekuwa kocha wao mkuu wa timu ya Wanawake Edna Lema kuwa kocha mkuu kwa mara nyingine. Edna ambaye aliondoka Yanga msimu wa baada ya 2022/23 kuelekea Bishara United ya ligi daraja la kwanza amerejea Yanga baada ya msimu mmoja na sasa atakuwa kocha mkuu wa Yanga Princess kwaajili ya msimu…

Read More

DENI LASABABISHA UHABA MKUBWA WA MAFUTA NIGERIA

Kampuni ya Kitaifa ya Petroli ya Nigeria (NNPC Ltd) inakabiliwa na matatizo ya kifedha, ambayo yameweka shinikizo kubwa kwa makampuni ya usambazaji mafuta na kusababisha tishio kwa uendelevu wa usambazaji wa mafuta. Olufemi Soneye, Afisa Mkuu wa Mawasiliano wa Kampuni ya NNPC Ltd, alifahamisha haya katika taarifa Jumapili, akikubali ripoti katika magazeti ya kitaifa kuhusu…

Read More

ZARI APANDA NDEGE MPAKA KAMPALA KUMUOMBA MSAMAHA SHAKIB

Zari Hassan ameomba radhi hadharani kwa mumewe, Shakib Lutaaya, akikiri kwamba kelele zake za hivi karibuni kwenye mitandao ya kijamii zilichochewa na kufadhaika. Mfanyabiashara huyo alifunguka kuhusu matendo yake wakati wa mahojiano na vyombo vya habari, ambapo alieleza kuwa kwa sasa yuko Kampala kuungana na Shakib na kurekebisha uhusiano wao. Zari Hassan anamuomba mume Shakib…

Read More