AYRA STARR NA TEMS WAONGOZA SPOTIFY

Wanamziki kutoka Nigeria Ayra start na Tems wametangazwa kuwa mwaka huu nyimbo zao ndio zinasikilizwa zaid kutoka nchini humo kupitia jukwaa la Spotify .
Lakini pia wimbo wa Luciano na Omah lay unaokwenda kwa jina la ‘ Another vibe’ umeshika nafasi ya tatu huku ‘ just like me ‘ ulioimbwa na 21 savage , Burna boy na Metro boomin ukishika nafasi ya tano .
Phiona Okumu ambaye ni mkuu wa Spotify kusini mwa jangwa la Sahara ameeleza orodha hiyo ilitambua nyimbo za wa Nigeria zilizosikilizwa zaidi kutoka nje ya nchi kati ya januari 1 na June 30,2024.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *