Bei ya Mahindi Sasa Si Tatizo Tena

Samia Suluhu

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt.Samia Suluhu Hassan imetatua changamoto ya bei elekezi ya mahindi mkoani Katavi iliyolalamikiwa kwa muda

Kupitia Wizara ya Kilimo na Waziri
wa Wizara hiyo Mhe.Hussein Mohamed Bashe amesema bei ya wakulima kuanzia leo Vituo vyote vya ofisi ya wataalamu wakala wa Taifa uhifadhi wa chakula (NFRA),Vijijini mahindi sio 500 ni 600 kwa kilo na makao makuu ya miji ni 650.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *