Ubakaji na ulawiti video

WATUHUMIWA KESI YA UBAKAJI NA ULAWITI WAFIKISHWA MAHAKAMANI

Watuhumiwa wanne wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma kufuatia video iliyosambaa katika mitandao ya kijamii ikionesha binti akiingiliwa kinyume na maumbile na kikundi cha watu huku wakidai wametumwa na afande kufanya uovu huo. Akizungumza leo Jijini Dodoma mara baada ya kusomwa kwa mashtaka yanayowakabili washtakiwa hao, Mkurugenzi Msaidizi wa Makosa dhidi ya Binadamu kutoka…

Read More