DOTTO MAGARI AKUTANA NA RAIS SAMIA NA KUPIGA PICHA

Mtoto wa Mama Kizimkazi @dotto_magari katika Picha ya Pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan.

Dotto Magari ambaye pia ni Balozi Rasmi wa Tamasha la Kizimkazi 2024 leo Tarehe 20 Agosti 2024, Baada ya Ufunguzi wa Skuli ya Maandalizi ya Dkt Samia Suluhu Hassan.

Katika maneno ya Dotto hupenda kusema mtu sie Nyau, Ukihitajika utaitwa, ukiitazama hii picha akiwa na mama, unajiadaa kusikia akizungumza nini?? 😅

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *