Furaha ya Ayra Starr kwa Will Smith, Sio Mchezo

Ulikuwa wakati wa kusisimua kwa mwimbaji wa Nigeria, Oyinkansola Aderibigbe, almaarufu Ayra Starr, alipokutana na mwigizaji wa Marekani, Will Smith.

Ayra alikutana na Smith jana usiku baada ya tamasha la Coldplay huko Roma, ambapo kupitia ukurasa wake wa X zamani Twitter ameandika “What a Night! Ayra Stsrr x Will Smith” akaweka na vi emoj vya kuonyesha kururahi.

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *