HIZI HAPA JEZI MPYA ZA YANGA MSIMU WA 2024/2025

Yanga Sc wametambulisha uzi wao mpya wa nyumbani utakaotumika msimu wa 2024/25 🔰

Jezi ambazo bado zinatengenezwa na Mbunifu wao Sheria Ngowi na bado zimekua jezi pendwa kwa wananchi zenye ubunifu.

     

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *