Mapacha wa Faiza Ally wafikisha mwezi mmoja

Mjasiriamali na muigizaji wa filamu za kibongo, Faiza Ally kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram amechapisha picha akiwa na watoto wake mapacha wa kiume huku akiwatakia heri ya kufikisha mwezi mmoja toka kuzaliwa.

Hongera @iamfaizaally

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *