Baada ya mfululizo wa matokeo mabaya kwenye ligi kuu Tanzania bara na michezo ya kuwani kufuzu hatua ya makundi ya ligi ya Mabingwa Afrika, klabu ya Azam leo septemba imefikia makubaliano ya pande mbili kuvunja mkataba na aliyekuwa kocha wao mkuu Youssuph Dabo raia wa Senegal. 

Dabo atimuliwa rasmi Azam

Baada ya mfululizo wa matokeo mabaya kwenye ligi kuu Tanzania bara na michezo ya kuwani kufuzu hatua ya makundi ya ligi ya Mabingwa Afrika, klabu ya Azam leo septemba imefikia makubaliano ya pande mbili kuvunja mkataba na aliyekuwa kocha wao mkuu Youssuph Dabo raia wa Senegal. Daboi ambaye amehudumu Azam kwa kipindi cha mwaka mmoja…

Read More

50 CENT Afichua siri ya utofauti wa kufanya series na single movie.

Mwigizaji na mtayarishaji wa filamu kutoka nchini Marekani anayefahamika zaidi kama 50 Cent amefunguka kwanini kutengeneza tv series ni bora kuliko kuandaa movie ya fupi ya kawaida.   Kupitia mahojiano aliyoyafanya msanii huyo maarufu ambaye pia ni rapa amesema kufanya series haihitaji msanii maarufu inahitaji kipaji pekee ila kufanya movie inahitaji msanii maarufu .  …

Read More

MSIMAMO WA FEISAL KWA AZAM FC

Kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema licha ya kuondolewa mapema katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu, anaamini timu hiyo ina kikosi bora chenye ushindani na nafasi yao mwisho wa msimu kwenye ligi iko palepale. . “Hakuna mchezaji ambaye alitamani tuishie njiani, tulikuwa na malengo makubwa lakini imeshatokea, hatujakata…

Read More
Lameck lawi

MASIKINI LAWI AREJEA BONGO, HATIMA YAKE HAIJUI

Baada ya kurejea nchini, beki Lameck Lawi amesema hatma ya yeye kuitumikia Coastal Union ipo chini ya Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya Simba kuendelea kukomaa. Lawi ambaye alisaini mkataba ndani ya Simba, ameshindwa kuitumikia timu hiyo na badala yake alitimkia Ubelgiji kwa ajili ya kujaribu…

Read More