Rais Samia afungua kikao cha viongozi wa taasisi za Umma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 28 Agosti 2024 amehutubia na kufungua Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) jijini Arusha.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *