Maelfu wamejitokeza kuhudhuria mazishi ya kiongozi wa Hamas aliyeuawa

Maelfu wamejitokeza kuhudhuria mazishi ya kiongozi wa kisiasa wa Hamas, Ismail Haniyeh, nchini Iran ambaye aliuawa katika shambulizi mjini Tehran siku ya Jumatano. Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, anaongoza sala hiyo kabla ya kiongozi huyo kuzikwa nchini Qatar. Vyombo vya habari vya Marekani vimewanukuu maafisa wa Iran wakisema kiongozi huyo mkuu ameamuru shambulio…

Read More

Unaweza kudhani ni mtoto wa miaka 4, lakini ni kijana wa miaka 22

Hasbulla Magomedov ni staa mkubwa kwenye mitandao ya kijamii anayetokea Dagestan huko nchini Urusi. Alipata umaarufu mwishoni mwa 2020 kwa vichekesho vyake kwenye Instagram kabla ya umaarufu wake kuongezeka alipoanza kutumia TikTok mwaka 2021 na amekuwa akialikwa sehemu mbalimbali duniani. Ukimuangalia jinsi alivyo unaweza kudhani ni mtoto wa miaka 4, lakini Hasbulla aliyezaliwa mwaka 2002…

Read More