Wanaonunua malori kutoka Uingereza wapewa tahadhari

Kupitia chapisho lake kwenye ukurasa wa X, Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mbelwa Kairuki ametoa tahadhari kwa wafanyabiashara wenye nia ya kununua malori yaliyotumika kutoka Uingereza wachukue tahadhari za msingi wanapofanya manunuzi ili kuepuka usumbufu na hasara inayoweza kutokea. Balozi Kairuki amewataka wanunuzi hao kuhakikisha kuwa kampuni wanazotaka kufanya nazo biashara zimesajiliwa nchini Uingereza, na…

Read More