Soka ingekuwa kazi yangu kama nisingetoboa kwenye muziki – Wizkid

Kutoka Nigeria mkali wa miondoko ya Afrobeats na mshindi wa tuzo za Grammy, Wizkid, ameweka wazi kuwa mpira wa miguu ndio ingekuwa kazi yake pendwa kama asingetoboa kwenye muziki. “Kama nisingekuwa mwanamuziki ningekuwa mchezaji mpira, nacheza mpira mzuri sana na niliwahi kuwa kwenye kikosi cha shule niliyosoma”, aliongea kwa kujitamba Wizkid. Mwanamuziki huyo amesema ana…

Read More

Kiwanda cha tajiri wa Afrika (Dangote) kuanza kuzalisha Petroli

Kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote cha Nigeria kitakachozalisha mapipa 650,000 ya mafuta kwa siku kinafanyiwa majaribio ya uzalishaji wa petroli, huku kikitarajiwa kuanza kufanya kazi kwa ukamilifu ifikapo mwezi Septemba mwaka huu. Kiwanda hicho chenye thamani ya Dola Bilioni 20, kilichojengwa jijini Lagos na tajiri mkubwa barani Afrika, Aliko Dangote, kwasasa kinazalisha mafuta ya…

Read More

Beyonce kumburuza Trump mahakamani.

Mwanamuziki wa Marekani Beyonce ameripotiwa kumfungulia mashtaka Rais wa zamani wa Marekani ambaye kwa sasa yupo kwenye kampeni za kurejea kwenye kiti hicho Dolald Trump kufuatia kutumia wimbo wake wa ‘Freedom’ bila ridhaa yake. Siku ya Jana Trump mtu mmoja aliyepo kwenye timu ya kampeni ya Trump Steve Cheung alichapisha kipande cha video kwenye mtandao…

Read More