Messi anakuwa mchezaji mwenye mataji mengi zaidi katika historia ya soka
Nahodha wa Argentina, Lionel Messi, ameingia kwenye rekodi ya kuwa mchezaji mwenye mataji mengi zaidi katika historia ya soka. Messi alicheza kwa dakika 60 alfajiri ya leo wakati nchi yake ilipoilaza Colombia 1-0 katika fainali ya Copa America 2024. Taji la leo linakuwa la 45 kwa mchezaji huyo kushinda katika maisha yake ya soka. Messi…