Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo July 29, 2024
Pitia kurasa za mbele za magazeti ya Tanzania kitaifa na kurasa za kimichezo pamoja na gazeti la Michezo ya leo July 29, 2024 na ujipatie nakala yako kwa undani wa habari.
Pitia kurasa za mbele za magazeti ya Tanzania kitaifa na kurasa za kimichezo pamoja na gazeti la Michezo ya leo July 29, 2024 na ujipatie nakala yako kwa undani wa habari.
Aliyekuwa Meneja wa idara ya habari na Mawasiliano ya klabu ya Yanga Ali Kamwe kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii ametangaza kujiuzulu na kuaga mashabiki wa klabu hiyo kuendelea kutumikia nafasi hiyo. Hii inajiri baada ya Haji Manara kumaliza kifungo chake cha miaka miwili kujihusisha na masuala ya Michezo, Huku hata wakati Yanga imesafiri…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa leo Julai 28, 2024 ameshiriki katika mbio za hisani za Benki ya NBC zilizoanzia na kuishia katika uwanja wa mpira wa miguu wa Jamhuri jijini Dodoma. Mheshimiwa Majaliwa ameipongeza benki hiyo kwa kaundaa mbio hizo zenye lengo la kusaidia mapambano dhidi ya saratani ya…
Baada ya aliyekuwa kiungo wa klabu ya Simba, Babacar Sarr kutangazwa kama mchezaji mpya wa klabu ya JS Kabylie ya Algeria kama mchezaji huru baada ya kumalizana na Wekundu hao wa Msimbazi mpaka sasa klabu ya JS Kabylie ina wachezaji na watumishi wa bechi la Ufundi zaidi ya watano kutoka Simba. Babacar raia wa…
Klabu ya Yanga imeshinda goli 4-0 dhidi ya Klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrka kusini kwenye mchezo wa fainali ya Toyota Cup ambao pia ni wa maandalizi ya msimu mpya uliochezwa kwenye dimba la Toyota Stadium mjini Bloemfontein Afrika kusini. Magoli ya Yanga kwenye mchezo huo yamefungwa na Mshambuliaji mpya Prince Dube, Stephanie Aziz…
BAADA ya Kamati ya Usuluhishi ya Tff kutoa maelekezo Simba na Coastal Union kukaa chini na kumalizana kwa kutumia busara, na Jana Julai 27 Viongozi wa timu hizo walikutana kujadili mustakabalia wa Lameck Lawi ambaye yupo Ubelgiji, baada ya kufanya vipimo katika klabu ya K.A.A Gent inayoshiriki Ligi Kuu ya Ubelgiji. Dili la Lawi kutua…
Msanii maarufu zaidi wa muziki nchini Tanzania Nassib Abdul ‘Diamond Platnumz’ leo usiku atafanya onyesho kubwa la muziki lililoandaliwa na Afrobrunch jijini Barcelona nchini Hipania. Diamond ambaye kwasasa anatamba na ngoma ya ‘Komasava’ aliyowashirikisha wasanii wa kimataifa kama Jason Derulo wa Marekani, Khalil Harison na Chley Nkosi wa Afrika kusini atapanda jukwaani kwenye ‘shoe’…
Jezi ya msimu mpya wa Ligi 2024/2025 ya Simba iliyobatizwa jina la Ubaya Ubwela, imemfikia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye amekabidhiwa leo na Mwakilishi wa Sandaland, Hamis Mluba Mjini Dodoma wakati wa Marathon ya NBC DODOMA MARATHON.