Manchester United kumuajiri Andreas Georgson kama kocha wa ‘set-piece’

Kocha Msweden, Andreas Georgson ambaye aliwahi kufanya kazi na klabu ya Arsenal anatarajiwa kujiunga na Manchester United hivi karibuni. Kwa mujibu wa ripoti kutoka Norway ambako kocha huyo anafanya kazi na klabu ya Lillestrom, Manchester United imeanza mikakati ya kumnunua ili aje kuwa kocha wa ‘Set-piece’ klabuni hapo. Taarifa zinasema kocha huyo anaweza kuigharimu Manchester…

Read More

SIMBA YAIGALAGAZA YANGA KWA KIUNGO HUYU

BAADA ya watani wa jadi kugombania saini ya kiungo wa JKT Queens, Amina Bilal hatimaye Simba Queens imefanikiwa kuizidi akili Yanga Princess na kumnasa mchezaji huyo kwa mkataba wa mwaka mmoja. Amina aliwahi kuwa nahodha wa Yanga, iliyomnasa akitokea Msimbazi, kabla ya msimu uliopita kujiunga na JKT Queens. Awali Yanga ilikuwa ya kwanza kukamilisha karibu taratibu zote…

Read More

GAMONDI AWAFAGILIA DUBE NA BALEKE

KOCHA Miguel Gamondi anashindwa kujizuia na kuchekelea kimtindo namna washambuliaji wapya wa timu, Prince Dube na Jean Baleke walivyoanza maisha ndani ya timu hiyo, akisema namna bora ya wao kujitambulisha ni kufunga mabao. Baleke na Dube kila mmoja amefunga bao katika mechi mbili tofauti zilizopita za kirafiki za kimataifa timu ikiwa Afrika Kusini, hatua ambayo imemtuliza Gamondi,…

Read More

Rubani apona ajali ya ndege Nepal

Watu 19 waliokuwa kwenye ndege ya Saurya Airlines iliyokuwa ikifanyiwa majaribio wamefariki dunia kutokana na ajali iliyotokea eneo la Kathmandu huko Nepal, Huku watu hao walikuwa wafanyakazi wa kiufundi wa shirika hilo. Ni Rubani pekee ambaye kwa sasa anapatiwa matibabu hospitalini ndiye aliyenusurika katika ajali hiyo mbaya. Mamlaka ya usafiri wa anga ya Nepal ina…

Read More