HII HAPA, SABABU YA “KIBU DENIS” KUTOWASILI KAMBINI, SASA ANAIKANDA SIMBA
Rashid Yazid, Msimamizi wa Kibu Denis amezungumza kwa mara ya kwanza tangu sakata la Kibu Denis kutowasili kambini kujiunga na timu kwenye maandalizi ya msimu, huku Timu yake ya Simba ikitoa taarifa kwa Umma jana kua imemalizana na mchezaji huku ikishangaa kwanini hajawasili kambini mpaka leo na akitoa sababu nyingi, pia ikisema kama klabu itatoa…