Nafasi ya Tanzania kimataifa imekuwa kwa kasi kubwa :Rabia
Katibu wa NEC Idara ya Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ndg. Rabia Abdalla Hamid, ameleeza kuwa katika kipindi cha uongozi wa nchi wa awamu ya sita, chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, uhusiano wa Tanzania na nchi nyingine dunia umekua kwa kasi kubwa. Ameongeza kuwa katika kipindi cha 2021 mpaka 2024, serikali…