Samia Suluhu

Bei ya Mahindi Sasa Si Tatizo Tena

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt.Samia Suluhu Hassan imetatua changamoto ya bei elekezi ya mahindi mkoani Katavi iliyolalamikiwa kwa muda Kupitia Wizara ya Kilimo na Waziri wa Wizara hiyo Mhe.Hussein Mohamed Bashe amesema bei ya wakulima kuanzia leo Vituo vyote vya ofisi ya wataalamu wakala wa…

Read More

KARIA: “Idadi ya wachezaji wa kigeni haipungui”

“Tumeamua kusisitiza kubaki na wachezaji wengi wakigeni licha ya watu wengi kutaka wachezaji wakigeni wapunguzwe,mafanikio ambayo tumeyapata ni kwasababu ya uwepo wa wachezaji wakigeni ambao kabla ya wao kuja timu zetu zilikuwa hazifanyi vyema katika michuano ya kimataifa. “Kwa takwimu tulizonazo wachezaji wakigeni hawajafika 70 kati ya wachezaji 600 ambao huwa wanashiriki katika ligi kuu,hivyo…

Read More

Uhispania Yatwaa Ubingwa wa EURO

Uhispania imetwaa ubingwa wa kombe la Mataifa Ulaya, EURO kwa mara ya nne kihistoria kufuatia ushindi wa 2-1 dhidi ya England kwenye fainali katika dimba la Olympiastadion (Berlin).   Hispania walitwaa kombe hilo kwa mara ya kwanza mnamo 1964 kabla ya kutwaa mara mbili mfululizo mwaka 2008 na 2012 na leo wametwaa kwa mara ya…

Read More