MBAPPE ANUNUA KLABU YAKE YA UTOTONI

Kylian Mbappé amenunua hisa nyingi katika klabu ya Caen ambayo inashiriki Ligue 2 ya Ufaransa kwa takriban €20 milioni.   Akiwa na umri wa miaka 25, Mbappé anakuwa mmiliki mdogo zaidi wa klabu katika soka la Ulaya. Ununuzi huu unafuatia uhamisho wake wa hali ya juu kwenda Real Madrid, ambapo anaagiza mshahara mkubwa na mikataba…

Read More

AWESU AWESU WA SIMBA ATAMBULISHWA KMC

NYOTA Awesu Awesu rasta aliyetambulishwa kuwa kwenye changamoto mpya msimu wa 2024/25 ndani ya kikosi cha Simba kinachoolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids.. Alitambulishwa kuwa mali ya Simba Julai 17 akitokea KMC, alijiunga na timu kambini Misri Julai 17 alicheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki Simba Day,Agosti 3 na ametambulishwa kwa mara nyingine kurejea KMC,Agosti 13. Inaelezwa…

Read More