SIMBA KUSHUSHA MSHAMBULIAJI MPYA

“Nina changamoto kwenye kushambulia, nina furaha na kikosi changu, lakini upo uwezekano wa kutafuta mshambuliaji mwingine na uzuri, uongozi umeonesha nia kunisapoti, nina imani tutasajili mshambuliaji mwingine.”   Fadlu Davids, Kocha Mkuu wa Simba SC akizungumza kuelekea mechi yao dhidi ya Coastal Union kwenye michuano ya Ngao ya Jamii.   Tetesi zinaeleza kuwa huenda klabu…

Read More
uvccm

Kazi ya UVCCM sio upambe – Daniel Chongolo

Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Bw. Daniel Chongolo, amewataka vijana mkoani humo kuacha kushawishika na kutumiwa na baadhi ya watu wanaowania nafasi mbalimbali za uongozi, hasa kuelekekea kipindi cha uchaguzi kwani vitendo hivyo vitasababisha kupata viongozi wasiokuwa na sifa. Bw. Chongolo amayasema hayo wakati akizungumza na makundi mbalimbali ya vijana mkoani humo, wakiwemo Umoja wa…

Read More