SIMU BADO ZITAITA SANA KWA MUDATHIR

MUDATHIR Yahya kiungo wa Yanga ubora wake uleule unaendelea msimu wa 2024/25 kwa mujibu wa Maulid Kitenge ameweka wazi kuwa kwa Muda simu zitaita sana. Agosti 4 katika utambulisho wa wachezaji wapya na wale waliokuwa na kikosi cha Yanga msimu wa 2023/24 kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi wakati ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Yanga 2-1 Red…

Read More