Zari na mumewe hali tete….! wakimbiana Instagram.

Baada ya mkwaruzano wa siku kadhaa kati ya mrembo Zari the Boss Lady na mumewe Shakib Lutaaya huwenda wasiweze kkuwa pamoja tena na hii ni baada ya kila mmoja kumu-unfollow mwenzake kwenye ukurasa wake wa Instagram na kufuta picha zote walizokuwa wamepiga pamoja .

Zari na mumewe Shakib wamekuwa kwenye mgogoro kwa uliosababishwa na baba wa watoto wawili wa Zari Diamond Platnumz kutembelea wanawe Afrika Kusini bila taarifa kusherehekea siku ya kuzaliwa ya bintiye Tiffah agosti 10 mwaka huu.

Wanandoa hao huwenda ndoa yao ikawa hatarini kuvunjika hasa baada ya kuwa na majibizano kwenye mitandao yaliyozua gumzo kubwa kwa watu mbalimbali.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *