ALEXIS SANCHEZ AREJEA INTER

Alexis Sanchez

Alexis Sanchez amerejea Udinese siku ya Jumamosi baada ya mshambuliaji huyo wa Chile kunyofolewa na mabingwa wa Serie A Inter Milan.

Katika taarifa yake, Udinese inesema kuwa Sanchez, 35, alitia saini mkataba wa miaka miwili na klabu hiyo ambapo ilimfanya achomoze katika soka la Ulaya.

Sanchez alisajiliwa kwa mara ya kwanza Udinese mwaka 2006 na akaichezea klabu hiyo miaka miwili baadaye baada ya kukaa kwa mkopo.

Aliunda ushirikiano wa nguvu na nyota wa Udinese Antonio Di Natale kabla ya kuuzwa kwa Barcelona mwaka wa 2011 na kwenda pia kuwa nyota wa Arsenal.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *