Kiwanda cha tajiri wa Afrika (Dangote) kuanza kuzalisha Petroli

Kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote cha Nigeria kitakachozalisha mapipa 650,000 ya mafuta kwa siku kinafanyiwa majaribio ya uzalishaji wa petroli, huku kikitarajiwa kuanza kufanya kazi kwa ukamilifu ifikapo mwezi Septemba mwaka huu.

Kiwanda hicho chenye thamani ya Dola Bilioni 20, kilichojengwa jijini Lagos na tajiri mkubwa barani Afrika, Aliko Dangote, kwasasa kinazalisha mafuta ya Dizeli pekee.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *