Snoop Dogg ni rapa mkubwa kuliko Jay-Z – Tyrese

Akiongea hivi karibuni na Shannon Sharpe kwenye ‘podcast’ ya Club Shay Shay, muigizaji Tyrese Gibson aliibua mjadala ambao ulitaka kujua ni nani kati ya marapa Snoop Dogg au Jay-Z ni maarufu zaidi duniani.

Mjadala huo wawili hao wakauhitimisha kuwa Snoop Dog ndiye Rapa mkubwa zaidi ya Jay Z.

TYRESE: Snoop ni gwiji… rapper mkubwa zaidi duniani… na huenda akatangaza  yeye ni bilionea hivi karibuni.

SHANNON SHARPE: Sitashangaa.

TYRESE: Haupaswi kushangaa. Anamiliki biashara 732.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *