“Phiri Tayari, Kramo tunajadiliana naye” Magori

“Phiri alikuwa na mkataba wa mwaka mmoja kwahiyo alienda kwa mkopo miezi sita lakini baada ya miezi sita tumekaa tumekubaliana bora tuachane kila kitu kipo sawa tumemalizana vizuri na hakuna kesi inayoenda FIFA”.

“Kramo nae tupo kwenye mazungumzo kuangalia tutakavyoishi atatolewa kwa mkopo au tutaagana kwa sababu ulikuwa mjadala mrefu sana huyu mchezaji ni mchezaji aliyeumia kwenye Pre season wakati anaingia Simba hajacheza mwaka mzima”.

“Na demand ya timu ni to risk kumrejesha kwenye timu mtu ambae hajacheza msimu mzima anaweza akacheza chini ya kiwango afu ikawa lawama kwake ikaharibu Career yake kwa ujumla”.

Cresentius Magori, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *