“Bado Manula ni Mali ya Simba” Magori

manula na simba

“Manula bado ni mchezaji wa Simba na siwezi kulizungumzia hili sana, kwa sababu halipo chini yangu labda mtendaji mkuu wa klabu ndio anaweza kulieleza kwa usahihi na jana alikutana na mchezaji huyo”.
.
“Ila ninachofahamu ni mchezaji wa Simba kama kutakuwa na mabadiliko ufafanuzi utatolewa”.

Cresentius Magori Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *