chikao chikao

Zelensky aomba ruhusa ya kuipiga urusi kwa makombora ya magharibi

Rais wa Ukraine Vladimir Zelensky ametoa wito kwa washirika Katika mkutano na Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer na baraza lake la mawaziri, kuiruhusu Ukraine kutumia silaha za Magharibi katika ardhi ya Urusi. “Muhimu kwa hili ni silaha za masafa marefu. Tafadhali washawishi washirika wetu wengine kuondoa vizuizi, “Zelensky alimueleza Bw Starmer, akimaanisha kuruhusu mashambulizi…

Read More

Mume achoma vyeti vya mkewe baada ya kugundua anamcheat

Mwanamume mwenye hasira amefichua kwamba alimuadhibu mkewe kisiri baada ya kugundua anachepuka na wanaume wengine. Mume huyo alisimulia kwamba aligundua mkewe alichepuka na wanaume wawili kwa kufanya nao mapenzi kwa pamoja siku iliyopita na akaamua kumfanyia kitendo ambacho hatosahau. Ili kujiridhisha zaidi na adhabu yake, aliidukua simu yake na kuiba kila senti iliyokuwa kwenye akaunti…

Read More