FADLU DAVIDS ANAWAZA BIRIANI NA KUFUNGA MAGORI MENGI TU MSIMU HUU

“Cha kwanza mimi niwapongeze ni watu ambao wanaendana na falsafa yetu na wako katika kiwango kizuri sana cha ufundishaji wamekuwa wakienda katika zile njia za falsafa ya Simba”.

“Kiukweli ndio kitu ambacho anashughuluka nacho sana pamoja tunataka timu yetu iweze kupossess kucheza mpira ambayo na yeye ndio falsafa yake na ndio falsafa ya Simba kikubwa ni mwalimu ambae anataka timu iweze kufunga sana magoli”.

“Training zake nyingi zimekuwa ni kuweza kuassit na kufunga sana magoli msimu huu”.

Seleman Matola, Kocha Msaidizi wa Simba SC

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *