Jobe Afungishwa Virago Huko Msimbazi

Uongozi wa Simba SC umetangaza kuachana na mshambuliaji wao Pa Omar Jobe baada ya nyota huyo kudumu kwa muda wa miezi sita.

Inaelezwa kuwa viongozi hawakuridhishwa na kiwango cha nyota huyo na hivyo wakafikia maamuzi hayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *