“Nimetimiza Ndoto Yangu” Mbappe

“Nina furaha, nina furaha sana, nahisi ajabu kuwa hapa. Nimelala miaka mingi nikiiota Real Madrid na sasa… ni ukweli.”

“Ndoto yangu nyingine sasa ni kuwa katika kiwango cha klabu bora zaidi duniani. Nitatoa maisha yangu kwa klabu hii.” Tumeshinda jamani.”

Kylian Mbappé mchezaji mpya wa Real Madrid

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *