Simba Yaongoza Uuzaji wa Tiketi 2023/2024

Mauzo ya tiketi za kuingia viwanjani kwenye michezo ya nyumbani ya klabu zote za ligi kuu ya NBC kwenye msimu wa 2023/24.

Mauzo ya tiketi za kuingia viwanjani kwenye michezo ya nyumbani ya klabu zote za ligi kuu ya NBC kwenye msimu wa 2023/24.

Klabu ya Simba Sc imeongoza kwenye mauzo hayo huku ikitajwa kuingia zaidi ya kiasi cha shilingi Milioni ( 835, 805, 000 Tsh) huku Wananchi Yanga wapo nafasi ya pili wakiingiza jumla ya kiasi cha shilingi Milioni (825, 065, 000 Tsh)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *