50 CENT Afichua siri ya utofauti wa kufanya series na single movie.
Mwigizaji na mtayarishaji wa filamu kutoka nchini Marekani anayefahamika zaidi kama 50 Cent amefunguka kwanini kutengeneza tv series ni bora kuliko kuandaa movie ya fupi ya kawaida. Kupitia mahojiano aliyoyafanya msanii huyo maarufu ambaye pia ni rapa amesema kufanya series haihitaji msanii maarufu inahitaji kipaji pekee ila kufanya movie inahitaji msanii maarufu . …