Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 02, 2024
Pitia kurasa za mbele za magazeti ya Tanzania kitaifa na kurasa za kimichezo pamoja na gazeti la Michezo ya leo Ijumaa August 02, 2024 na ujipatie nakala yako kwa undani wa habari.
Pitia kurasa za mbele za magazeti ya Tanzania kitaifa na kurasa za kimichezo pamoja na gazeti la Michezo ya leo Ijumaa August 02, 2024 na ujipatie nakala yako kwa undani wa habari.
Dunia ina mambo mengi sana ambayo mengine si rahisi kuyafahamu lakini yapo ya kushangaza na yenye historia, ikiwemo Bahari iliyokufa ikifahamika kama ‘Dead Sea’ iliyopo Mashariki ya kati. Katika Bahari hiyo mtu ukiingia huwezi kuzama hata kama hujui kuogelea na si rahisi kuamini kwamba kuna Bahari au Ziwa lolote duniani ambalo mtu akiingia hawezi kuzama…
Klabu ya Simba imeweka rekodi ya kumaliza tiketi zote za sikukuu ya Simba Day siku tatu kabla ya sherehe yao itakayofanyika jumamosi ya terehe 3/8/2024 katika dimba la Benjamini Mkapa. Mnyama anaweka rekodi hii akiivunja rekodi aliyokuwa ameiweka msimu uliopita ya kujaza uwanja huo unaoingiza mashabiki elfu 60 siku mbili kabla ya Simba Day. Akizungumzia…
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam July 31, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema mpaka sasa mradi wa ujenzi wa bandari ya uvuvi ya Kilwa Masoko imeshatoa ajira kwa vijana wapatao 570 ambao wanafanyakazi hapo huku akiongeza kuwa utakapo kamilika utatoa ajira elfu 30 katika nyanja mbalimbali. Waziri Ulega amesema hayo leo alipotembelea kukagua maendelea ya ujenzi wa mradi huo…
Mtoto wa mwigizaji Angelina Jolie, Pax Jolie-Pitt mwenye umri wa miaka 20 amepata ajali jioni jana Jumatatu wakati alipokuwa akiendesha pikipiki kwenye barabara ya Los Feliz Blvd Carlifonia Nchini Marekani. Kijana huyo ambaye ni mtoto wa nne kwa mwigizaji huyo alipata ajali hiyo baada ya kugongwa na gari nyuma na kusababisha kupata majeraha kichwani yaliyomuweka…
Dar es Salaam, Tanzania – July 30, 2024 – Jubilee Health Insurance, a premier provider of health coverage solutions, proudly announces the launch of its latest product, FBiz. This groundbreaking health insurance plan is specifically designed to meet the needs of Small and Medium Enterprises (SMEs) with 3 to 15 employees, offering customizable, family-oriented coverage…
Klabu ya Azam imepoteza 4-1 mchezo wao wa kirafiki dhidi ya klabu ya Wydad AC ya Morocco mchezo uliomalizika hivi punde. Mchezo huo wa mwisho wa Azam kuhitimisha kambi yao ya Benslimane Morocco ulianza saa 2 usiku na kushuhudia sare ya 1-1 hadi mapumziko huku Azam wakibamizwa magoli matatu kipindi cha pili na vijana…