INATISHA: Wakubali kunyanyaswa kingono ili wapate chakula
Wanawake kadhaa waliokimbia mji wa Omdurman nchini Sudan wamesema kuwa kufanya mapenzi na wanajeshi ndiyo njia pekee inayowawezesha kupata chakula au bidhaa ambazo wataweza kuuza ili kupata pesa za kulisha familia zao, limeripoti gazeti la Guardian la nchini Uingereza. Muathiriwa mmoja alisema matukio hayo hufanyika katika baadhi ya viwanda ambako chakula cha akiba ya nchi…