YANGA KAMILI KWA MECHI ZA KIMATAIFA AFRIKA KUSINI

NAHODHA msaidizi wa Yanga Dickson Job ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa mechi zote za kirafiki kimataifa ambazo watacheza nchini Afrika Kusini ikiwa ni mwendelezo wa maandalizi ya msimu wa 2024/25. Ipo wazi kwamba Job ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Miguel Gamondi anaingia kwenye orodha ya mchezaji wa kwanza kufunga bao ndani ya Yanga msimu uliopita alifanya hivyo mbele ya KMC mchezo…

Read More

Waandamanaji wavamia gereza na kuwaachilia mamia ya wafungwa

Waandamanaji nchini Bangladesh wamevamia gereza siku ya Ijumaa na kuwaachilia “mamia” ya wafungwa kabla ya kulichoma moto gereza hilo, afisa wa polisi ameliambia shirika la habari la AFP.   “Wafungwa wametoroka gereza na waandamanaji wamechoma moto gereza”, afisa wa polisi amesema, akizungumza kwa sharti la kutotajwa. “Sijui idadi ya wafungwa waliotoroka lakini itakuwa mamia,” ameongeza….

Read More

Zelensky aomba ruhusa ya kuipiga urusi kwa makombora ya magharibi

Rais wa Ukraine Vladimir Zelensky ametoa wito kwa washirika Katika mkutano na Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer na baraza lake la mawaziri, kuiruhusu Ukraine kutumia silaha za Magharibi katika ardhi ya Urusi. “Muhimu kwa hili ni silaha za masafa marefu. Tafadhali washawishi washirika wetu wengine kuondoa vizuizi, “Zelensky alimueleza Bw Starmer, akimaanisha kuruhusu mashambulizi…

Read More