Iman Kajula kuondoka simba

Mzee wa Back To School Atema Bungo

Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba SC, Imani Kajula ameonba kuondoka ndani ya timu mara baada ya mkataba wake kumalizika. Mkataba wa CEO huyo unatarajiwa kumalizika mwezi Agosti na mwenyewe ameomba kando na maamuzi hayo aliyafanya toka mwezi. Taarifa za Kajula kuondoka ndani ya timu zimethibitishwa na uongozi wa klabu hiyo kupitia ukurasa zao rasmi za…

Read More

Mrembo achagua kuhesabu mchele badala ya kuwaamini wanaume, azua gumzo mitandaoni

Mwanamke mmoja amezua hisia kwenye mitandao ya kijamii baada ya kudai kwamba kwake kumuamini mwanamume ni vigumu. Mrembo huyo alisema kwamba endapo atatakiwa kufanya chaguo kati ya kuamini mwanamume au kuanza kuhesabu nafaka za mchele moja baada ya nyingine, basi yuko radhi kuhesabu nafaka za mcheke hata kama ni gumia mzima. Katika chapisho la video…

Read More