Mido ‘Fundi’ wa Twiga Stars kucheza timu inayoshiriki UEFA

Kiungo mshambuliaji ‘fundi’ wa timu ya Taifa ya wanawake ya Tanzania Diana Lucas Msewa mwenye umri wa miaka 21 anatajwa kuwa kwenye mipango ya kujiunga na klabu ya Trabzonspor Kadin Inayoshiriki Ligi kuu wanawake nchini Uturuki na ligi ya Mabingwa Ulaya akitokea Amed Sk ya ligi kuu nchini humo.

klabu aliyopo Diana sasa, Amed SK haijashinda mchezo kwenye michezo zaidi ya 10 mfululizo kwenye iliyopita kwenye ligi hiyo ijulikanayo kama Kadinlar ligi hali inayomshawishi Diana kuhitaji changamoto sehemu nyingine yenye ushindani.

 

Msimu wa 2009/10 Trabzonspor ilishiriki ligi ya mabingwa ya Ulaya na kushika nafasi ya 3 kwenye kundi D.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *